Tuesday, August 7, 2012

ATHARI 6 ZA MWANAUME ALIYEZOEA "KUJIUCHUA " AU " KUJICHEZEA (PURI )

Kujichua  au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.  
Leo  nitaongelea  Hasara za kujichua au kujichezea kwa  mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu  ya kufanya mapenzi. 

Athari kubwa ya kupig puri ni kuwa  hupunuza  kwa  kiasi kikubwa  hisia za mapenzi  za mwanaume  na kumfanya  awe  mtumwa sawa na mtumwa  wa pombe.

2. Huathiri mfumo mzima  wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi  haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).

Hii inatokana na kweli  kuwa mwili   wako unakuwa umeuzoeza  kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna  kitu wanawake  wanachukia  kama   kupizi mapema.

3.Humfanya  mwanaume ashindwe kurudia ROUND  YA PILI NA KUENDELEA....

Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round  tatu fululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza  kupiga round moja tu,ena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na  mpenzi wako.

Amini au usiamini.Ukwelini kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.

4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.

Athari  nyingine ya kujichua ni kuwa humfana mwanaume awe ni mtumwa.Kama alizoea kupiga  puri  wakati wa kulala,au   asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku....Haijalishiyuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni  lazima  atakimbilia  hata chooni ili  mradi  afanye  hivyo.


5.Humfanya  mwanaume  ashindwe kabisa kutoa bao.

Hii  hutokea  kwa mwanaume aliyezoea  kupiga  puri kwa miaka kadhaa. 

Jamani,nafikiri   mtakubaliana na mimi kuwa  VIDOLE ni  tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali  hii humfanya  mwanaume ashindwe kupizi  au  kusimamisha of which  hilo  ni  tatizo.

Sasa inapotokea ukafanya mapenzi  live   baada ya kutoka katika kipindi  kirefu   cha kupiga puri,mwili  hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.

Ni rahisi  kupatwa na maradhi  kama   KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa  PROSTATE CANCER.

Gonjwa hili  hushambulia mirija ya  chini  ya uume na  huufanya mkojo kuwa na mrundikano  mwingi wa damu.

Nakuachia  kazi ya ziada  kufuatilia  dalili  na hasara za ugonjwa huu.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!