Saturday, August 4, 2012

AUDIIO: TAARIFA YA HABARI TBC ,AGOST 4,2012. TANZANIA YAKANUSHA TETESI ZA KUFARIKI MGONJWA WA EBORA
Afisa Afya wa Mkoa wa Kagera, Herman Kabirigi amekanusha habari za kuwepo ugonjwa wa Ebola mkoani humo, ugonjwa ambao umeikunda nchi jirani ya Uganda.


Kabirigi amesema taarifa hizo si za kweli na kwamba mtoto huyo aliyewekwa kwenye uangalizi maalumu, hajafariki kama inavyoelezwa na baadhi ya watu.


Bofya kifute cha pleya kuisikiliza taarifa hiyo na nyinginezo.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!