Wednesday, August 22, 2012

AUNT EZEKIEL ABADILI DINI NA KUWA MUISLAM ILI KUITETEA NDOA YAKE INAYOTEGEMEWA KUFUNGWA MWEZI WA 11Muigizaji maarufu wa filamu nchini Aunt Ezekiel anatarajia kufunga ndoa mwezi wa 11 mwaka huu.

Muigizaji huyo ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa balozi wa Zuku Swahili Movies  tayari ameshavalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake aitwaye Sunday.

Kutokana na hatua hiyo sasa muigizaji huyo amebadilisha dini na kuwa muislam na atakuwa akijulikana kama Rahma.

Sikiliza mahojiano mafupi aliyofanya na kipindi cha Take One cha Clouds TV hivi karibuni hapo chini.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!