Saturday, August 18, 2012

BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU,MAUNDA ZORRO AKIMBILIA BONGO MOVIE...

Baada ya Maunda Zorro kuwa nje ya game yake kwa muda wa takribani miaka minne now she’s back but round hii kwenye movie scene.

Kwa mujibu wa Maunda Zorro ni kwamba ukimya wake ulitokana na kuwa bussy location akiigiza movie inayotarajiwa kutoka hivi sasa kwa jina la “Room Number 13” chini ya kampuni ya ZG iliyopo Zanzibar ambayo ndani yake amecheza kama ghost.

Je  anaacha mziki,???... “Siwezi kuacha mziki. Pamoja na kuwa  kimya nilikuwa  na-record ngoma ambazo management yake ilikuwa ikizizuia kuzitoa na hadi leo sijui inakuweje“- Maunda Zorro.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!