Wednesday, August 29, 2012

BAADA YA VIDEO YA KWANZA KUWA MBOVU, HII NDIO VIDEO MPYA YA TUNDA MAN ALIYOIFANYA UPYA – DEM SIO


Kama haufaham ni kwamba baada ya kupata malalamiko ya watu kwamba video ya kwanza aliyoitoa haikua nzuri, Mkali Tunda Man kutoka Tip Top Connection aliamua kufanya video nyingine mpya ya single ya “Dem sio” ambayo imetoka leo na mpekuzi imeipata na kuisogeza usoni kwako… ndio hii…HII NI VIDEO YA ZAMANI==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!