Sunday, August 5, 2012

CHABO NA VIBOMU KWENYE PEPA

 
Jamani hizi chabo ni balaa kwenye chumba cha mtihani


Wakati mwingine yuko bize anaumiza kichwa darasani mwingine kiurahisi anahamisha tuuu..!


Chabo kwa akina dadaz kwa pajaz..


Nani nwenye ujasiri wa kukusachi hadi huku...mmmh


Dah kimenaswa....


Wale wa kanuni...leoleo..


Hata simu zilipo katazwa kuingia chumba cha mtihani vifaa vingine vya kielektoniki vilitumika...


Ndiyo maana huko nchini japani wasimamizi wa mitihani huingia na kifaa maalumu cha kufanyia ukaguzi kugundua vifaa vya elektoniki kwa watahiniwa.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!