Tuesday, August 7, 2012

EMANUEL ZANDA: NATAFUTA MCHUMBA


JINA: Emmanuel Zanda
UMRI: 27
JINSIA: Mvulana
EMAIL: emmanuelzanda@yahoo.com
SIMU: 0752539979 AU 0656380928
HAHALI NILIPO;Shinyanga ( kikazi)
 
UJUMBE; serious natafuta msichana aliyetayari na anayehitaji kuingia kwenye ndoa ili tuanzishe familia kama mke na mume halali wa ndoa endapo tukiridhiana. 

Sitaki mtu anayejaribu au kutania kwani sipend kupotezeana
muda bali nahitaji mtu serious ili tufanye maisha. mimi ni mwajiriwa serikalini, sina mtoto wala sijawahi kuoa, situmii pombe wala sigara.

Ninayemuhitaji; Awe mweupe au maji ya kunde, asizidi miaka 25, awe mkristo, umbo la wastani, elimu yoyote, awe na kazi au asiwe na kazi, asiwe na mtoto, asiwe amewahi kuolewa. mengine tutaongea baada ya kuwasiliana.

KAMA UNATAFUTA  MCHUMBA AU  MPENZI,  NIANDIKIE  KUPITIA  mpekuziblog@gmail.com
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!