Sunday, August 5, 2012

FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI YA UWT TAIFA ZAANZA KURUDISHWA

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni  UWT Makao Makuu Bi Riziki Kingwande Dar es salaam leo

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!