Friday, August 31, 2012

JARIDA LA HISPANIA LAMCHAFUA MKE WA RAIS OBAMA NA KUMTOA KAMA MTUMWAJarida la Ufaransa la Fuera de Serie limeifanyia photo-shopping picha ya sura ya first lady wa Marekani Michelle Obama na kumuonesha kwenye picha ya karne ya 19 wakati wa utumwa.

Kava hilo limesababisha mjadala mkubwa iwapo picha hiyo ni ya kisanii tu ama imemdhalilisha mke huyo wa rais Obama.

Michelle bado hajasema lolote kuhusiana na picha hiyo.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!