Saturday, August 11, 2012

JE MATITI YA WASICHANA KULALA NI KWA SABABU YA WINGI WA KUFANYA MAPENZI?


Jibu ni HAPANA:
Matiti kulala ni maumbile ya msichana husika. Haina uhusiano kabisa kujamiana.


Kuna waschana mabikira lakini matiti yamelala, wengine wan umri mdogo kabisa ka miaka 15,16 lakini yamelala. Na wakati huo kuna wengine haipiti siku bila kulala na mwanaume lakini ukiwaona matiti yao ni kama ndo wanavunja ungo. sasa tusemeje juu ya hawa? hawajui uume?

Inawezekana   huyo binti  amewahi toa  mimba  kadhaa  na hivyo matiti  yake  husinyaa   kwa  sababu  huandaliwa   kunyonyeshwa.

Inawezekana  pia  huyo binti  hajui jinsi  ya kutunza  matiti  yake  na  kuyafanya yasilale.Katika  makala   ya wiki iliyopita  nilieleza mazoezi  matatu  yatakayo   fanya   matiti  yako  yasilale.

Kwa   hiyo    kusinyaa   kwa   matiti  hakusababishwi  moja  kwa moja  na ufanyaji  mwingi wa  mapenzi.Sababu   kubwa ni  kuwa wengi   hawajui   kuyatunza.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!