Wednesday, August 8, 2012

KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE, NI NANI ANATAKIWA KUMUANZA MWENZIE WAKIWA FARAGHA?


KATIKA mapenzi kuna mambo mengi sana ambayo wahusika wanapaswa kuyafanya; leo tujadili suala la faragha.

Hivi ni nani ambaye anamhitaji mwenzake zaidi ya mwingine? Ni mwanaume au mwanamke? Kati ya wawili hawa ni nani anayetakiwa kuwa wa kwanza kumuanza mwenzake?

Ni mwanaume au mwanamke?
Wenzi wanapokuwa faragha kati yao akijisikia kuingia 'mzigoni' na mwenzake, nani mwenye haki zaidi ya kumweleza mwenzake moja kwa moja?

 Kiu siku zote inatakiwa kukatwa na si kulimbikizwa hadi mwingine 'mwenye haki' ya kusema 'anataka' amwambie mwenzake.

Napenda kushea mawazo na wewe. Hebu niambie, unadhani ni nani anamhitaji mwenzake zaidi? Ni nani anapaswa kuwa wa kwanza kuzungumzia suala la tendo la ndoa faragha?
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!