Friday, August 3, 2012

Kitabu cha "Lighting Fire" cha Wanasayansi Mabingwa Watanzania chazinduliwa

Picture
L-R: Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbarawa akipiga makofi wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kitabu kiitwacho "Lighting Fire" kilichoandikwa na wanasayansi 31 mabingwa wa Kitanzania, kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Tekinolojia, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, siku ya Agosti 2, 2012. Aliyeo kulia ni Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!