Thursday, August 23, 2012

KLYINN NAYE ABEBESHWA MIMBA......


YULE MISS TANZANIA ASIYECHUJA  AMEAMUA KUFATA NYAYO ZA WASANII  WENZAKE  WANAOPATA WATOTO WAKIWA NJE YA NDOA... 

KLYINN ALIAMUA  KUACHANA NA MUZIKI NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO AMBAYO YAMEDUMU KWA MUDA MREFU NA YULE JAMAA..... SI UNAMJUA? 

HIVI SASA  KLYINN  AMEHAMA NCHI KWA MUDA ILI KULEA MIMBA YAKE NA MENGINE YATAFUATA BAADA YA MTOTO KUZALIWA...
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!