Friday, August 17, 2012

MAKALIO YANGU HUNIFANYA NIPATE MIALIKO MINGI SANA TOKA KWA WANAUME......AUNT LULU


Nashindwa  kuthibitisha kama   makalio  haya ni  ya " kichina "  au  la, lakini mhusika  anayanadi  kuwa "Aliyarithi toka  kwa mama yake"....

Katika  harakati zangu za kupekua, nilisitushwa kidogo na maelezo yake katika  mtandao  wa globalpublisher  alipokuwa akiyanadi MAKALIO yake.......Anadai eti  humfanya apate  "Mialiko mingi"......Kazi ipo jamani

*******************************************
AMEPATAJE MAKALIO HAYO?
“Makalio yangu nimeyarithi kutoka kwa mama yangu mzazi, japokuwa nikiwa mdogo nilikuwa mwembamba lakini nilivyokuwa mtu mzima ndiyo limekuja lenyewe hivi kama unavyoliona.”

USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Napata usumbufu mkubwa sana, kila ninakopita wanaume wananiita pia nimekuwa nikipata mialiko mingi sana kutoka kwa wanaume wa sehemu  mbalimbali ambao hata siwafahamu.”


JE, ANATAMANI KUPUNGUA?
“Weeee……thubutu! Sitamani hata kidogo kupungua kwa sababu makalio yangu nayapenda sana, pia yananipa faraja kubwa yaani Mungu amenipendelea.”

KUHUSU MAVAZI YAKE

“Napenda kuvaa nguo zinazoachia mwili wangu kama gauni, huwa najisikia niko huru zaidi.


SAIZI YA NGUO YA NDANI
“Sijui saizi ninayovaa maana sivaagi kufuli kwa sababu nikivaa huwa najikuna sana kutokana na hali ya joto.”
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!