Sunday, August 5, 2012

MAKOSA MANNE AMBAYO WANAUME HUYAFANYA WAKATI WA KUWAANDAA WAPENZI WAO


Je, maandalizi ya tendo la ndoa (foreplay) ni nini?

Ni kitu kinachofanyika kati ya wakati mmetoa nguo zote na kabla ya mwanaume kuingiza uume kwenye uke.

Ni kubusiana, kugusana, na kuchezeana hadi mnakuwa mmesisimka vya kutosha kwa ajili ya tendo la ndoa.

Ni kuuungana kihisia, kiroho na kimwili kwa muda wa kutosha kabla ya tendo la ndoa

Ni msingi na kitu muhimu kwa ajili ya kuhakikisha unapata tendo la ndoa lenye kuridhisha.

Ni sanaa ya kuelezea upendo na kukaribishana kwa ajili ya tendo la ndoa.

Ni muhimu kwa ajili ya kumwandaa mwanamke kwa ajili ya tendo la ndoa.

Ni kumhusisha partner wako vizuri zaidi kupata hisia za upendo na ukaribu kimahaba yeye kujiona mtu maalumu kwako

Ni aina ya meditation (kutafakari) ambapo hukusahaulisha na mambo ya dunia (ulimwengu wa nje) na kuondoa strees na kukuwezesha ku-focus kwenye mapenzi moja kwa moja (connection)na yule umpendaye.

Pia kusoma maandishi yanayosisimua, kuangalia video na picha zinazosisimua na maongezi yanayoosisimua kimapenzi ni foreplay pia.

MAKOSA   WANAYOYAFANYA   WANAUME  WAKATI  WA  KUMUANDAA  MWANAMKE

(i) Kuwa na haraka
Wanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.

Wanawake hutumia muda mrefu ili kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda bila kuwa na haraka ili uweze kumsisimua na zaidi kuwa na sex nzuri na yenye kuridhishana.

Ni vizuri kutumia muda wa kutosha kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.

 (ii) Kukosa kujua sehemu muhimu za kuchezea
Zaidi ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.

Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akiguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.

Tumbo, matako, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na nyuma (kutumia mtandao wa Vodacom au tigo ni dhambi kubwa kabisa tena ukome kama una hayo mawazo, mwenye hekima na afahamu naongea nini)

Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.

Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.

 (iii) Kuwa bubu bila kuongea maneno matamu na kumsifia
Wakati wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema mwanaume awe anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama wewe ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.

Kuna maneno matamu, kwenye mapenzi maneno matamu yapo ya aina mbili, kwanza ni dirty words (mfano uke kwa jina jingine unaitaje vile au uume kwa jina jingine unaitaje vile) na pili maneno ya kumsifia juhudi yake au alivyo na umbo zuri. Dirty words husaidia kumsisimua na kupa hamu zaidi na maneno ya sifa husababisha atoe juice zaidi.

 (iv) Kubusu kwa kinyaa au bila Ustaarabu
Wakati unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda umbusu, huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye, hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza kabisa katika mapenzi.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!