Friday, August 17, 2012

MAMA YAKE NA SYLVESTER AKA RAMBO MWENYE MIAKA 90 ANAVYO UPENDA UJANA

Big smile: Jackie Stallone poses on the red carpet at The Expendables 2 premiere in Los Angeles last night, sporting a huge trout pout
Huyu ni mama wa Sylvester Stallone aka Rambo jina lake ni Jackie Stallone, jina lake la kuzaliwa ni "Labofish'" picha hizi ni alivyo kuwa kwenye red carpet  iliyo fanyika katika ukumbi wa Grauman's Chinese Theatre, huko hollywood CA alivyoenda kum suport mtoto wake  Sylvester kwenye premiere  action movie ya The Expendables 2.

Family affair: Sylvester Stallone was joined by wife Jennifer Flavin and their three daughters, from left Scarlet, Sophia and Sistine
Family affair: Sylvester Stallone was joined by wife Jennifer Flavin and their three daughters, from left Scarlet, Sophia and Sistine

Not your average 90-year-old: The astrologer slipped into a short black skirt, plunging blouse and platforms

Not your average 90-year-old: The astrologer slipped into a short black skirt, plunging blouse and platforms

Jackie Stallone aka Labofish, aki pose mbele ya camera na akiachia tabasam iliyo enda shule, midomo na sura kitu mchina hicho ana miaka 90 kazi kwako ndugu msomaji je  na wewe utaki kuzeeka???????
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!