Wednesday, August 1, 2012

MASTET P ANA MKWANJA MREFU KULIKO DR DRE

Unataka  kujua  kuhusu staa wa michano mwenye mkwanja zaidi hivi sasa huko Unyamwezini?  Basi  sawa! Teentztz.com  inakuhabarisha  kuwa   bosi wa lebo ya Bad Boys, Sean Combs ‘P Diddy’ ndiye rapper anayemiliki mkwanja mrefu zaidi  akiwa  ametunisha kibunda cha Dolali za Marekani  Milioni 500 na  kuwafungia  vioo mastaa wengine  kama Jay Z, Kanye West  na Bosi wa  YMCMB  Lil Wayne.
Hapa  chini ni orodha kamili  ya mastaa  hao wenye mkwanja  mrefu huko Unyamwezini ikiwa imeanzia  namba 20 -1.
20  Rick Ross –$25 Million
19   T-Pain na T.I –$30 Million
18     Nelly –$55 Million
17  Busta Rhymes –$60 Million
16  Ludacris –$65 Million
15  Beastie Boys –$75 Million
14  Timbaland –$75 Million
13  Pharrell Williams –$77.5 Million
12  LL Cool J na Akon –$80 Million
11  Kanye West –$90 Million
10  Lil Wayne –$95 Million
9    Ice Cube –$100 Million
8   Snoop Dogg –$110 Million
7   Birdman –$115 Million
6   Eminem –$120 Million
5   50 Cent –$250 Million
4   Dr. Dre –$260 Million
3  Master P –$350 Million
2  Jay-Z –$475 Million
1  Diddy –$500 Million
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!