Monday, August 13, 2012

MAVAZI HUWAKILISHA HESHIMA YA MTU........HUU NI UJUMBE WAKO JACK WA CHUZI

 

PICHA  HII  INAMUONESHA  JACK  WA  CHUZ  AKIWA  "KIHASARA"....... NI  SAA  6:45  USIKU NDANI  YA  UKUMBI  WA  SUN  CIRRO.
JACK  NAAMINI UNAKUMBUKA


MAVAZI  YAKO  NDIO  YATAKAYO  KUFANYA  UHESHIMIWE  AU  UDHALAUKE.WEWE  NI   MSANII  AMBAYE  NI  KIOO  CHA  JAMII.  JE   WATANZANIA  WAIGE  NINI  KUTOKA  KWAKO?   

NINACHOKIONA  MIMI   NI  SHANGACHUPI  NA  SEHEMU  YA  MAKALIO  YAKO.....SIDHANI  KAMA  KUNA  MTANZANIA  ATAKUIGA.

TUJIKUMBUSHE:

HUYU  NAYE  NI  MIONGONI  MWA  MASTAA  WACHAFU  WANAO  PIGA  PICHA  ZA  UTUPU.

KWA  HABARI  ZAIDI   <<BOFYA  HAPA>>
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!