Friday, August 3, 2012

Mkitulazimisha kuingia darasani itakuwa hivyo - Liwalo na liwe! Liwe liwalo!

Picture

Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Misewe, Tabata, Dar es Salaam ambaye hakutaka kutaja jina lake akiandika Hisabati na ujumbe ubaoni shuleni hapo jana ikiwa ni mwendelezo wa mgomo wa walimu nchini kuishinikiza Serikali kushughulikia madai yao mbalimbali.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!