Monday, August 27, 2012

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KATIKA MAANDAMANO YA CHADEMA MKOANI MOROGORO AMBAYO FFU WALIYASAMBARATISHA Huyu ni Ally Zona muuza magazeti wa Msamvu Morogoro akiwa hajitambui baada ya kutandikwa risasi na Polisi kuzuia maandamano ya chadema
Mtu mmoja anadaiwa kufa kwa kupigwa risasi Kichwani huku wengine kadhaa wakijeruhiwa vibaya kwa Risasi za moto baada ya Polisi kuwarushia Risaasi za moto na mabomu ya machozi waandamani wa Chadema mjini hapa.

Wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema
 Askari waliokuwa katika eneo la tukio kabla ya kuanza kwa maandamano hayo
 Moshi wa mabomu yaliolipuliwa kutawanya maandamano ya chadema leo mjini morogoro

 Gari  la chadema lililokuwa likiongoza maandamano hayo
Mmoja wa kiongozi wa chadema akiwa amekamatwa akiwa ndani ya gari la polisi 
 Wafuasi wa chadema wakiwa na maandamao hayo mjini morogoro
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!