Thursday, August 16, 2012

NIKIWA "NAFANYA" NAKUWA MKAVU SANA NA UPEPO HUJAA. NIFANYAJE ?


Mimi ni mwanamke mwenye miaka 24. Namshukuru Mungu kanijaalia kazi yenye kipato nzuri na nina mpenzi ambae tunapendana sana.


 Tatizo langu ni pale tunapokuwa Stejini, Uke wangu huwa mkavu sana japo jamaa anajitahidi sana kuniandaa kwa muda mrefu .

Pia uke hujaa upepo wakati wa  tendo  hali ambayo hunisababishia kuchukia kufanya mapenzi.

Nahisi mpenzi wangu hafurahii ndio maana naomba ushauri nifanye nini ili niwe normal "

USHAURI
:


Ukavu wa Uke wako unaweza kusababishwa na mambo mengi ikiwa ni pamoja na hofu, mawazo, uoga, kutokujiamini, matumizi ya madawa n.k. lakini kutokana na maelezo yako hapa nadhani tatizo la kujaa upepo ndio linalokufanya uwe na hofu ya kufanya mapenzi.

Kama ulivyosema mwenyewe kuwa hali hiyo hukufanya uchukie kufanya mapenzi. Sasa, pamoja na kuwa mpenzi wako anajitahidi kukuandaa kama wewe hauko tayari kiakili itakuwa ngumu sana kwa mwili wako ku- respond.

Nini cha kufanya: 

Epuka mikao ambayo itasababisha hewa kuingia ukeni kwa wingi mf mbuzi kagoma na "matawi yake". 

Vilevile hakikasha mpenzi wako anapoingia na kutoka hatoki nje sana anatoa kiasi tu au ikiwezekana asitoke kabisa na badala yake wewe ndio uifanye kazi hiyo ya kuingia na kutoka....

Mfano:-Mpenzi wako akiwa amelala chali na wewe kuwa juu yake (mlalie au ukalie uume) kisha nenda juu-chini bila kutoka kabisa pia unaweza kutumia misuli yako ya uke na kiuno badala ya nje-ndani.

Njia nyingine ya kuepuka utoaji wa hewa wakati wa kufanya mapenzi ni kutumia misuli ya uke wakati tendo linaendelea
na kila siku unapofanya shughuli nyingine za kila siku.

Ukizoesha misuli yako ya uke mazoezi huwezi kupata matatizo hayo na pia itakusaida baada ya kujifungua (kama bado).

Asante.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!