Sunday, August 5, 2012

NIMECHUMBIWA LAKINI SIYAJUI MAPENZI. NIFANYAJE ILI MUME WANGU ANIFURAHIE WAKATI WA.....?

Habari  Dada Dinah/  Irene.
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo  nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye maandaliz ya  ndoa.

Tatizo mimi ni  mgeni  kabisa katika  ulimwengu  wa mapenzi  na  sijui   kitu  zaidi ya kusimuliwa na marafiki tu.Pengine mtanicheka,  lakini huu ndo ukweli wa moyo wangu.

Sipendi mchumba wangu anichukie  na sipendi anisaliti kwa ajili ya ushamba wangu.Natamani anifurahie  kama anavyotarajia   toka kwa mwanamke  yeyote.

Siku  moja tulijaribu. Sikumkatalia mana tayari  keshanichumbia..Dah,maumivu niliyoyapata nashindwa hata kuyasimulia.Kichwa  kilifanikiwa kuingia lakini hakuweza kuendela tena kutokana na kilio nilichokuwa nakitoa.

Nakiri mimi ni mshamba,lakini nifanyaje dada  na nakaribia kuingia kwenye ndoa?.Nasikia kuna jinsi ya kumwandaa mwanaume,nataka kujua sehemu zipi nimshike ili apate raha.

******************************

JAWABU:
Kwa kawaida kuingiliwa kwa mara ya kwanza (tolewa Bikira) kunauma na sio wanawake wote wanaotolewa Bikira siku ya kwanza kwani hushindwa kuvumilia maumivu na hujawa na Uoga hivyo misuli ya uke inashindwa kujiachia(relax).

Ndio maana zamani wakati Mabinti wanaolewa na Bikira walikuwa wanakaa ndani siku Saba, Usiku wa ndoa Bikira inatolea na siku saba baada ya hapo mwanamke "anazoeleshwa" uume(kuingiliwa ) na yeye kuonyesha mambo mengine ya kimapenzi aliyofundwa kwao.

Ikiwa Mchumba wako amefanikiwa kuingiza kichwa ni wazi kuwa wewe sio Bikira tena, isipokuwa Uke wako haujazoea kuingiliwa na kitu kinene na kigumu + hofu ya kuumia.

Vilevile kichwa cha uume huwa kikubwa kiasi kuliko sehemu ya nyuma ya Uume, ikiwa kichwa kinaingia ni vema kama utavumilia ili aendelee kuingia taratibu na kwa hatua, sio anaingia moja kwa moja na kwanguvu na shauku zake zote....utaumia na kumchukia!!

Weka uaminifu kwa Mchumba wako na muombe aingie taratibu-taratibu, usiwe na haraka ya kuzoea leo au kesho! Unaweza kusubiri mpaka mtakapofunga ndoa na kwenye Fungate ndio mkazoeshane.

Wanaume wanatofautiana hivyo siwezi kusema umshike wapi ili afurahie .anyway! Kuna maeneo ambayo ni General na mengine jaribu kubahatisha au kutafuta jinsi mnavyozidi kuzoeana.

--Kubusu shingo katika mtindo wa kuuma kwa mbaaali

--Busu au papasa juu ya Kinena(sehemu inayoota Nywele) au niseme kiunoni kwa mbele hivi kama unaelekea chini ila usifike kwenye uume.

--Lamba katika mtindo wa kunyonya Chuchu, hakikisha unazinyonya kwa kupokezana, usibaki kwenye chuchu moja kwa muda mrefu kwani utampoteza "msisimko".

--Masikio, unaweza kuwa ni sehemu ya chini, kwa nyuma au kwa ndani kama sio sikio lote. Tumia midomo yako kulamba, busu, hemea na nong'oneza maneno matamu kumfanya Mchumba wako asikie raha na kuelewa hisia zako kwake.

--Busu katika mtindo wa kulamba sehemu ya ndani ya mapaja yake, pia busu sehemu ya nyuma ya kiuno(juu kidogo ya makalio yake).

--Shika Kende zake na kuzichezea(taratibu usimuumize) na tumia midomo yako kutumbukiza kende na kuzitoa kama vile unapuliza ki-slow-mo.

Anza na hivi, vingine tutaendelea kuelekezana jinsi unavyoendelea na maisha yako ya ndoa.

Maana ukionyesha mengi jamaa anaweza kukushangaa....Lol!

Hongera sana kwa kuchumbiwa na kila la kheri kwenye maandalizi ya Ndoa yenu. Mungu awaongoze na kuwalinda.
------------------ 
Dinah..
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!