Friday, August 24, 2012

SANAA HUJENGA " WATU MALAYA " NA KUWAFANYA WASIONE WALA KUSIKIA.......SOMA HIKI KITUKO


MSANII wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan ameonesha kulikomalia penzi la mume wa mtu na kusema kwamba, yuko tayari kuzaa naye angalau mtoto mmoja.
 
Akiongea  na  mpekuzi bila  yeye  kujua ,Tiko alisema anaumia kuingilia penzi la mwanamke mwenzake lakini kwa kuwa mwanaume huyo anaonesha kumpenda yeye zaidi, bora aambulie hata damu yake tu.

Alisema, katika maisha yake amepita kwa wanaume kadhaa lakini kwa huyo anaona bora atulie na kuyaacha maisha yaendelee.Hajali  maumivu  anayoyapa  mke  wa  huyo  bwana  na haimgharimu kwa  uchafu huo.

Choko  choko  nichokoze, mumeo  sikumuita.......

......Huyu ndiye mwanaume niliyekuwa nikimhitaji, ananijali na tangu tumekuwa wapenzi hatujawahi kuwa na ugomvi mkubwa ila wa kawaida tu, hivyo niko tayari kumzalia mtoto mmoja tu, alisema Tiko.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!