Wednesday, August 22, 2012

TUMUUNGE MKONO MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA FAINALI ZA MISS EAST AFRICA

 
Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre
Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake.
 
Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
 
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!