Wednesday, August 8, 2012

TUPO TAYARI KUMWAGA DAMU KWA AJILI YA UCHOKOZI WA MALAWI

 Naomba uwashauri wakubwa  watumie ramani zilizopo kwenye taarifa mbali mbali za miaka ya enzi za ukoloni hasa zilizoko kwenye maktaba (wakati Tanzania inaitwa Tanganyika; na Malawi inaitwa Nyasaland) watapata ukweli kuhusu mipaka yetu. 

Wakitumia ramani za siku hizi hawataambulia kitu kwani wenzetu wanatumia IT kubadilisha ramani hizo. 

Nimeona hata baadhi ya ramani zinaonesha kuwa mlima kilimanjaro upo Kenya. Hizi ni njama za majirani zetu wanazozitumia ili siku za baadae watumie kuporea rasilimali zetu.
Sisi  wananchi tupo  tayari kwa lolote.
mdau.
Cheki mwenyewe hizi ramania
 Ramani ya Nyasaland (Malawi) ya mwaka 1935 iliyopatikana kwenye “Colonial Reports” za Uingereza kama inavyoonekana hapo  juu.

 Cheki na hizi.

 
 Moja ya stempu ya Malawi ya mwaka 1945
1: The map of Tanganyika that Garth Hoets and Nigel Roberts used in 1959 when climbing Mt. Kilimanjaro

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!