Saturday, September 1, 2012

TUZO ZA CHANNEL 0: AY ATAJWA MARA TATU HUKU CPWAA AKITAJWA MARA MOJA


Kituo cha runinga cha Channel O usiku huu kupitia Twitter, kimetangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za mwaka 2012 za Channel O Music Video Awards.

Katika tuzo hizo AY ametajwa mara tatu na Cpwaa ametajwa kuwania mara mbili.

Ay ametajwa kwenye kuwania kipengele cha Most Gifted East African Video of the Year, Most Gifted Male Vid of the Year na Most Gifted Vid of the Year.

Cpwaa yeye ametajwa kuwania kipengele cha Most Gifted Dance video of the Year.


Tuzo za 9 za Channel O Music Video, CHOMVA12 zitatolewa November 17 huko Kliptown, Soweto, Johannesburg, Afrika Kusini.


List ya Vipengele vya CHOMVA2012

Most Gifted East African vid of the Year

Keko, AY, Camp Mulla, Sauti Sol, KNAAN, Navio 

Most Gifted Reggae

HipHopPantsula, Buffalo Souljah, Ice Prince, Orezi na Wyre

Most Gifted Afro Pop vid of the Year:

JOZIMTC, DJ Sbu, DJSbu ft @Zahara, Gal Level, Brymo & Maurice Kirya

Most Gifted Hip-hop vid of the Year

KhuliChana, L_Tido, Ice Prince, Manifestive, KNAAN ft Nas

Most Gifted West African vid of the Year

MoCheddaH, Wiz Kid, Sarkodie, NaetoC & Wande Coal

Most Gifted Group/Duo

MiCasaMusic, Liquideep, CampMulla, buffalosouljah na PSquare

Most Gifted Male Vid of the Year

Khulichana, Linda Pro Mkhize, Big Nelo, D'Banj na Ay

Most Gifted Female Vid of the Year

Zahara, Lizha James, Tiwa Savage, Mo Cheddah na Keko

Most Gifted Vid of the Year

DJ Zinhle,Khuli Chana,Toya Delazy,Lizha James,Big Nelo, DBanj,Brymo,Sarkodie,Camp Mulla & AY

Most Gifted Dance vid of the Year

DJZinhle, DJ Cleo OS3, Davido, Bucie, Cpwaa,Toya Delazy, Davido, E.L.,CampMulla, na Donald
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!