Sunday, August 12, 2012

UNAZIJUA SURA ZA WASANII KABLA YA KUWA MASTAA?


Waswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. 

Maisha mazuri waliyonayo mastaa hawa leo hii, hayakupatikana ndani ya siku,mwezi ama mwaka mmoja. Ni safari ndefu iliyokuwa na kila aina ya vikwazo na kukata tamaa.

Juhudi na vipaji vyao ndivyo vilivyowafanya leo hii wawe ‘soga za mjini’ na waonekane waking’aa.LAKINI  TUSISAHAU KUWA  BAADHI YAO WANAPENDEZA  KWA  KUJIUZA MITANDAONI


Hizi ni picha zinazowaonesha kabla hawajatoboa na kuwa nyota wa muziki.


1.Joseph Mbilinyi, mbunge wa Mbeya mjini na msanii wa Hip hop

2.Rehema Chalamila aka Ray C

3. Linah Sanga

4.Ambwene Yessaya aka AY

5. Diamond

6.Juacali na Nonini
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!