Wednesday, August 29, 2012

VANESSA MDEE ALIPAKA MATOPE JARIDA LA BAABKUBWAMtangazaji wa MTV Base na Choice FM 102.6 ya Tanzania, Vanessa Mdee, jana aligeuka mbogo baada ya kile kinachoonekana kama kukerwa na jarida la burudani la Baabkubwa.

Vanessa analishutumu jarida hilo kwa kuandika habari za uongo, kuchafua majina ya watu, Kiingereza kibovu miongoni mwa mambo mengine.
Alitweet:
Can’t stand BabKubwa – lies,defamation,horrible grammar, tacky production and print, chipped nail polish and busted weaves …
— Vanessa Mdee (@VanessaMdee) August 28, 2012
Vannesa ambaye pia ni mwanaharakati wa masuala ya HIV/AIDS, alimalizia kwa kuweka nukuu isemayo,
A country is only as informed as its media. Surely this can’t be life. #ImDone
— Vanessa Mdee (@VanessaMdee) August 28, 2012
Hatujaweza kufahamu ni habari gani mbaya waliyoiandika watu wa Baabkubwa kuhusu mrembo huyo
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!