Saturday, August 18, 2012

VIDEO 10 ZA BONGO FLEVA ZILIZOANGALIWA ZAIDI YOUTUBEZifuatazo ni video 11 za nyimbo za Bongo Flava zilizotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube hadi Alhamisi   16/  8/2012

1. Angie - My Boo -  1,738,421 views 

2. Bushoke & Juliana Kanyomozi -  Usiende Mbali  1,301,132 

3. Bushoke & K-LYNN - NALIA KWA FURAHA - 1,016,324

4. Xplataz – Nini dhambi - 949,865

5. Alikiba – Usiniseme -  927,777

6.Diamond – Mbagala 797,076

7. Tid – Nyota yako-   673,650

8. Diamond - Moyo Wangu - 666,346    

9 Alikiba -  Nakshi mrembo  - 605,520

10. MATONYA feat LADY J.D – ANITA - 483,943    
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!