Friday, August 3, 2012

Video: ITV taarifa - Agizo la Mahakama na kilio cha Walimu

Mahakama kuu kitengo cha kazi imeutaka uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania, CWT, kutoa taarifa ya kusitisha mgomo kwa wanachama wake mara moja, kulipa hasara iliyopatikana kutokana na mgomo pamoja na kuwafidia wanafunzi muda walioupoteza kwa kukosa masomo.

Henry Mabumo wa ITV anayo taarifa zaidi katika video iliyopachikwa hapa.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!