Saturday, August 18, 2012

WAKAZI WA MWANZA: MSANIII KEKO TOKA UGANDA ATAWASILI KESHO JIJINI MWANZA SAA MBILI


Rapper wa kike kutoka nchini Uganda Keko amesema anatarajia kuwasili jijini Mwanza kesho saa mbili asubuhi.

Keko ambaye hii ni mara ya kwanza kuja Tanzania, ataperform kwenye hoteli ya Star Max.

Amesema pamoja na kuja Mwanza tayari yupo kwenye mazungumzo na MwanaFA kwaajili ya kufanya ngoma pamoja. ‘I am big fan of Mwana FA we are actually working out something as we speak . I am looking forward and hopefully bumping to Fid Q when I am in Mwanza, ” amesema.

Ameongeza kuwa kama kuna promoter yeyote wa Dar es Salaam ambaye angependa kufanya show naye nafasi ipo wazi.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!