Thursday, August 2, 2012

Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe Akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka wa Fedha,2012-2012

 Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akielekea kusoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha,2012-2012 Bungeni Jana Mjini Dodoma
Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha,2012-2012.Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!