Monday, August 6, 2012

WEMA SEPETU ATAMANI KUSHIRIKI BIG BROTHER AFRICA


Apparently, Wema Sepetu ameanza kuingiwa na idea ya kutaka kushiriki kwenye shindano lijalo la Big Brother Africa. 


“Dah eti nafaa kuwa next housemate BBA….?” ni swali alilowauliza followers wake wa Twitter leo asubuhi.

“Not only kufaa u deserve to be there Wema coz unakismati cha kupendwa na watu,” alijibiwa na mmoja wa followers hao.


Kwa hakika Wema Sepetu akiamua kushiriki kwenye shindano hilo anaweza kufanya wonders kutokana na haiba yake. Big Brother Africa loves drama and Wema has what it takes to entertain.


Ni msichana ambaye kama akishiriki kwenye shindano hilo, ndani ya muda mfupi anaweza kuwa housemate anayependwa zaidi na Africa.


Wema ni msichana asiyeogopa kuongea yale atakayo kuongea hata kama atatofautiana na wengine. 


Ukiongezea sauti yake nyembamba kama ya mtoto ambayo ni kivutio kwa wapenzi wa filamu nchini, anafit sana kuiwakilisha Tanzania ambayo kwa mwaku huu imefanya vibaya kwenye shindano hilo.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!