Wednesday, September 26, 2012

"DIAMOND ALITUSHIKA MATITI KWA BAHATI MBAYA".......RECHO


 Baada ya mtandao huu kuvujisha picha chafu ya Linah,Recho na Diamond, hatimaye  wasanii hawa wameanza  kufunguka  mmoja mmoja juu ya ukweli wa picha hiyo.....


Kupitia simu ya kiganjani, mpekuzi wetu alifanikiwa kumdaka Recho ambaye alikuwa na haya ya kusema :"Hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na  tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile. Alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.

Tulikua sehemu to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"alisema recho

Tunasubiri  na wengine nao wafunguke.......Nina  uhakika wengine watasema "Tulikuwa tumelewa tu jamani"
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!