Monday, September 10, 2012

ARNOLD KAYANDA NA ANITHA WATARAJIA KUVISHANA PETE MUDA SI MREFUVing'ora  vya  sherehe  vitalia siku si nyingi kwenye tasnia ya burudani nchini baada ya presenter wa Jahazi show at Clouds FM kumu-engage his long time lady friend called  Anitha.

Kwa taarifa tuliyoipata ni kuwa mnamo tarehe  28-07-2012 mida ya saa nane hivi mchana Arnold Kayanda ambaye mwanzoni alikuwa akii-run Top 20 show ya mjengoni hakuona kazi kupiga goti na ku-propose mbele ya ndugu na jamaa na kutoa pete huku akimuuliza Will you marry me ambapo Anitha Rhinda naye hakusita kujibu Yes I will.

Arnold na Anitha who’s currently working at Dar es Salaam Port wanatarajiwa kupanda altareni mnamo tarehe 27 October mwaka huu at St. Joseph Church hapa hapa jijini ili kwenda kula kiapo cha kuishi kama mume na mke till death tear them apart.

“Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumu-engage my long time girlfriend, ninachokisubiri kwa sasa ni siku ya tukio kufika ili nivute jiko langu ndani”

“Anitha is so loving, caring kwa ufupi she’s my heaven sent, amekuwa akinishauri na pia kunisupport mara nyingi kwenye kazi yangu “-Arnold.==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!