Wednesday, September 12, 2012

BREAKING NEWS: ASKARI ALIYEMUUA MWANDISHI WA CHANNEL TEN AFIKISHWA MAHAKAMANI CHINI YA ULINZI MKALI

Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani
 
Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu.
 
Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa anaitwa Pacificus Cleophase Simon (23)
 
TAARIFA  KAMILI ITAKUIJIA HIVI PUNDE
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!