Tuesday, September 11, 2012

CHOFACO RECORDS YAWAJIBU ORIJINO KOMEDI KUHUSU BEAT YA DANGER


Chofaco Records ya Marekani iliyotengeneza beat ya Danger ya Fid Q, imeamua kuzungumza na kuwajibu Orijino Komedi waliomshutumu Fid kuwa amecopy na kupaste beat hiyo.

“CHOFACO RECORDS OWNS FULL COPYRIGHT OF THE SONG DANGER BY FIDQ, PRODUCED BY CHOBARAY.

NYIMBO ILIREKODIWA NOVEMBER,2008.JIULIZEE NYIMBO ILITOKA MWAKA GANI? MZIKI WA USA SIO SAWA NA MZIKI WA BONGO.
 
KUNATOFAUTI KATI YA MIXTAPE SONGS AND ALBUM SONGS ALSO LEASED TRACKS,NON EXCLUSIVE TRACKS AND EXCLUSIVE TRACKS.
 
KABLA ORIJINO KOMEDI KUKURUPUKA NA KUONGEA/KUFANYA VIPINDI VYAO LAZIMA MJUE COPYRIGHTS ZA KAZI ZA WATU,HESHIMA NA BUSARA,KUULIZA NA KUELIMISHWA SI UJINGA.”
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!