Saturday, September 1, 2012

CHRIS BROWN NA DRAKE WAMALIZA UGOMV WAOHatimaye Chris Brown amemaliza vita yake maneno dhidi ya Drake.


Chris mwenye miaka 23 amedai kuwa hana tena “beef” na Drake, 25 baada ya wasanii hao kuhusika kwenye ugomvi wa kurushiana chupa katika klabu ya usiku ya New York, June 14 ambao ulisababisha watu kadhaa kujeruhiwa akiwemo mcheza kikapu Tony Parker.


Chanzo kilichopo karibu na Chris kimeuambia mtandao wa HollywoodLife.com: “That situation has already been handled and Chris [has] no beef with [Drake.] We don’t think about [him.] Drake who? That club s**t was what it was and Chris left that baggage back where it happened.”


Chris na Drake wote wanawania kipengele cha Best Male Video katika tuzo za MTV Video Music Awards (VMAs) mwezi ujao lakini Chris amedai kuwa hatohudhuria tuzo hizo zitakazotolewa Los Angeles Staples Center .


Amedai kuwa uamuzi huo hauna uhusino wowote na Drake.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!