Wednesday, September 12, 2012

CHRIS BROWN NA TATOO MPYA YA RIHANNA


Si mwingine ni Chris Brown ambaye ni singer, songwriter, rapper, dancer and actor toka pande za area code 1. Latest infoz nikuwa hivi karibu Chri Brown alionekana amepiga tatoo mpya kwenye shingo yake.

Msanii huyu mwenye umri wa miaka 23 amezua maneno juu ya Tatoo hiyo maana hiyo tatoo inaonyesha sura ya mwanamke na inaonyesha ni sura ya Rihanna kama amepigwa. 

Na wengi tunajua Rihanna na Chris walikuwa wapenzi but penzi lao liliingia doa baada ya Chris Kumpiga Rihanna, Mpaka sasa hajafahamika kama hiyo Tatoo inamaanisha nini kwa upande wa Chris Brown na kuiweka shingoni mwake.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!