Saturday, September 1, 2012

D'BANJ ATARAJIWA KUPIGA SHOW KUBWA NCHINI UGANDA


Kundi waandaaji wa show la Nigeria na Uganda linatarajia kumpeleka Coco Master, D’Banj nchini Uganda.

Limedaiwa kuwa katika mkakati wa kumpeleka msanii huyo pamoja na mwingine mkubwa kutoka Ningeria.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Uganda, huenda D’banj akasindikizwa na mchekeshaji maarufu barani Afrika, Basket Mouth.


Wasanii hao wa Nigeria watashare stage moja na wasanii wengine wakubwa wa nchini Uganda kwenye show hiyo.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!