Tuesday, September 11, 2012

H BABA AMUONEA WIVU DIAMOND...ADAI KUWA MUDA WAKE WA KUTAMBA UMEKWISHA NA SASA NI ZAMU YAKE


MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Hamis Baba ‘H Baba’ amejitapa kumfunika mwanamuziki mwenzake ‘anaye-shine’ kinomanoma kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kimafanikio.

Akizungumza na Mwandishi  wetu jijini Dar, H Baba alisema muda wa Diamond kufanya vizuri umeshapita na sasa ni zamu ya wasanii kutoka Mwanza kuiteka Tanzania kwa mafanikio ya kimuziki.


“Yah sasa hivi ni zamu yetu, tazama kwa sasa ninavyowapeleka spidi kwenye anga zote. Muziki ninawakimbiza, uigizaji pia siko nyuma,”
alisema H Baba.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!