Monday, September 24, 2012

"SANAA HAIWEZI KUNIFANYA NIMSALITI MUME WANGU"...CHUCHU

Chuchu Hans
Chuchu Hans mwigizaji wa filamu

PAMOJA na kukiri kupewa uhuru wa kutosha na mumewe Frank Mtao, mkali wa filamu, Chuchu Hans amefunguka kuwa hawezi kutoka nje kama mastaa wengine wanavyoandamwa na skandali hiyo.
Chuchu Hans


Chuchu aliiambia Mpekuzi kuwa anajitambua yeye ni nani katika jamii hivyo skendo haiwezi kumpata hata siku moja kwani hana tamaa ya fedha kama wengine.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!