Wednesday, September 5, 2012

HAWA NDO WALIOTEULIWA NA WAZIRI KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA DAUD MWANGOSI


Majina ya walioteuliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi kuchunguza mauaji ya mwanahabari, Daudi Mwangosi ni pamoja na:


  1. Jaji Mstaafu Steven Lihema - Mwenyekiti wa Tume
  2. Theophil Makunga (Tanzania Editors Forum (TEF))
  3. Pili Mtambalike (Media Council of Tanzania (MCT))
  4. Kanali Wema Wapo (JWTZ)
  5. Isaya Mangulu, Mtaalamu wa Mabomu

Tume hiyo imetakiwa kuja na majibu katika baadhi ya maswali yanayotia utata juu  ya mazingira mazima ya kifo cha marehemu.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!