Friday, September 14, 2012

HII NDO DOCUMENTARY INTERVIEW ILIYOFANYIKA BAADA YA ONESHO LA VUVUZELA LINALOONGOZWA NA EVANS BUKUKU


Hii ni documentary interview iliyofanyika baada ya onesho la vichekesho lililohusisha kundi la Vuvuzela entertainment linaloongozwa na Evans Bukuku kutoka Tanzania, wakishirikiana na wasanii wa stand up comedy Mdomo Baggy kutoka Kenya na  Uncle Bob kutoka Uganda. 

Show ilifanyika mwaka jana mwezi december jijini dar es salaam. Itazame documentary interview hii hapo chini.==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!