Monday, September 3, 2012

HII NDO RIPOTI KAMILI YA SHOW YA DIAMOND NCHINI MAREKANI AMBAYO KIINGILIO CHAKE KILIKUWA DOLA 35 ZA KIMAREKANI


Umaarufu wa Diamond haupo Tanzania tu bali hata kwa watanzania wengi waishio nchini Marekani. Weekend hii akiwa na madancer wake, aliangusha show ya nguvu mjini Washington DC, huku mahudhurio yakiwa makubwa utadhani kiingilio kilikuwa bure.

Show ilikuwa ya KiVIP zaidi ambapo watu wa rika mbalimbali, masistatu na watu wengi walijitokea kumshuhudia nyota huyo wa ‘Lala Salama’


Kiingilio kwenye show hiyo kilikuwa ni dola 35 ambazo ni zaidi ya shilingi elfu hamsini hivyo ni rahisi kupata picha alilipwa shilingi ngapi kwa show hiyo.


Haijulikani kama atafanya show kwenye miji mingine tena nchini Marekani, lakini kama akifanya hivyo basi atarudi Tanzania akiwa  millionea


Hizi ni baadhi ya picha za show zinazoonesha jinsi Diamond na madansa wake walivyofunika.
dIAMOND 1
dIAMOND 3 dIAMOND 4 dIAMOND 5 dIAMOND 7 dIAMOND 8 dIAMOND 9 dIAMOND 10 Diamond show 059 dIAMOND 6
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!