Thursday, September 20, 2012

HILI NDO JUMBA LA KIFAHARI WANAPOKAA WASHIRIKI WA EPIC BONGO STAR SEARCH 2012Epic BSS House
Inavyoonekana mwaka huu kuna mengi yaliyoboreshwa katika shindano la kusaka vipaji vya waimbaji ambalo limepewa Jina la Epic Bongo Star Search.

Moja ya vitu vinavyoashiria ubora zaidi wa shindano hilo kwa mwaka huu kulinganisha na mashindano ya miaka iliyopita, ni mjengo ambao unawahifadhi washiriki wote katika kipindi chote cha shindano hilo, mpaka siku atakapopatikana mshindi wa zawaidi kubwa ambayo ni Million 50 tsh.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!