Saturday, September 22, 2012

HIZI NDO PICHA ZA LADY JAYDEE AKI SHOOT VIDEO YAKE MPYA
Hizi ni baadhi ya picha za video shot ya wimbo wa Lady Jaydee uitwao "Yeye" iliyofanyika  Ijumaa 21st Sept 2012.


Video imesimamiwa na ma-director wawili Lamar na Karabani chini ya Kampuni ya Filmatic.Video imefanywa maeneo ya Lugalo Golf Club Dar es salaam.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!