Monday, September 10, 2012

HUU NDO USHAHIDI WA VIDEO UNAOONESHA JINSI DAUD MWANGOSI ALIVYOUAWAHivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga, Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. 

Vurugu hizi baina ya Polisi na Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi aliyelipuliwa na bomu na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!