Friday, September 7, 2012

HUYU NDO WEMA SEPETU "ALIYEJIKOBOA".....MIKOROGO NI MIBAYA JAMANI


Hivi kwa nini wanawake mnapenda kujichuwa!?  Sikati, pengine Wema ni mzuri Sana,lakini  ebu angalia alivyo jikobowa!!! Yaani  kajiharibu  mno.

HII NI NGOZI YAKE  ASILIA.  NGOZI AMBAYO KILA MWAFRIKA HUJIVUNIA.....HAPA MKOROGO  BADO

HII NI MIGUU YAKE  ASILIA  AMBAYO  MUNGU KAMJALIA.......HAPA  BADO HAJAIKOBOA
Ukimwangalia  Wema Sepetu  wa  2006  wakati akitunukiwa taji la  Miss  Tanzania  ni tofauti kabisa na  Wema  wa  leo.Wakati ule alikuwa  na  ngozi asili, muonekano  safi tena  usio  na  michirizi.

Naamini uzuri huo ndo  ulisababisha  alitwae  taji la  miss  Tanzania.Achilia mbali skendo  alizo  nazo, leo  hii  akigombea tena Umiss  Tz  sina imani kama  atashinda.

HII NDO  MIGUU  YAKE BAADA  YA KUIKOBOA.  TAZAMA  ILIVYOJAA  MICHIRIZI NA JINSI  ILIVYO  KAKAMAA!!!....

 Mimi ningelikuwa nimeharibika na mkorogo hivyo wala nisingevaa  nguo fupi,miguu inatia kinyaa!! Say NO to mkorogo. 

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!