Friday, September 7, 2012

INTERVIEW YA AY NA XXL KUHUSU KUTEULIWA KUWA BALOZI WA AIRTEL TANZANIA
Wiki hii kwa Ambwene Yesaya imekuwa ya mafanikio makubwa kuanzia kutajwa kwenye vipengele vitatu vya tuzo za video za Channel O hadi kuteuliwa kuwa balozi wa Airtel Tanzania. Msikilize hapa chini akizungumzia vyote hivyo alipohojiwa leo (Sept.07.2012) na XXL ya Clouds FM.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!